A2ZAPK

Nyimbo Za Kristo

Nyimbo Za Kristo

Downloads: 204305


Free

Nyimbo Za Kristo / Specifications

Nyimbo Za Kristo / Screenshots

Nyimbo Za Kristo Unknown
Loading... Nyimbo Za Kristo Unknown
Loading... Nyimbo Za Kristo Unknown
Loading... Nyimbo Za Kristo Unknown
Loading... Nyimbo Za Kristo Unknown
Loading... Nyimbo Za Kristo Unknown
Loading... Nyimbo Za Kristo Unknown
Loading... Nyimbo Za Kristo Unknown

Nyimbo Za Kristo / Description

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP).
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote Nyimbo za kuburudisha kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.



Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Show More >

Nyimbo Za Kristo / What's New in vUnknown

-Now you can edit hymn title and lyrics from the song overflow menu.

Choose Download Locations for Nyimbo Za Kristo vUnknown

Nyimbo Za Kristo / Tags

Share Nyimbo Za Kristo At Social Media

Recommended for You

.