A2ZAPK

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili)5.7.0

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) v5.7.0

Downloads: 1430


Free

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) / Specifications

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) / Screenshots

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0
Loading... Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 5.7.0

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) / Description

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia" hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Agano la Kale
Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu.
Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki.
Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo Yoshua bin Sira Hekima Tobiti Yudith na Baruku pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi.

Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16 halafu na Waprotestanti wengi lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni.

Agano Jipya
Kuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha matendo na maneno ya Yesu.
Vingine ni Matendo ya Mitume Nyaraka za Mitume hasa Mtume Paulo na Ufunuo wa Yohane.
The New Testament The New Testament

The Christian Bible is a collection of sacred Christian texts. These various texts are called from ancient times only "books" as the word "bible" is the plural form of the Greek word "biblos".

It is distinguished from Tanakh which is the sacred text of Judaism and is probably referred to by the same "Bible" name especially in the Hebrew Bible versions. His books are in the first part of the Christian Bible by the name of the "Old Testament".

The Christian Bible is divided into two parts namely the Old Testament and the New Testament. The Old Testament contains the writings written before Jesus Christ and the books of the New Testament were written after him.

Old Testament
The books of the Old Testament are essentially those of the Hebrew Bible though the Christian denominations differ slightly in that. It was that at the time of Christianity there was a difference in Judaism about the books considered sacred texts. The issue was removed from 80 AD when Jewish scholars in Jabneh (Jamnia) took a strong stand against the followers of Jesus.
By then Christians were already accustomed to the Greek version of the sacred text translated in the 2nd century BC known as the Septuagint and had a number of books not in the original Hebrew or Aramaic or written directly in the Greek language .
The Christian Bible thus contained 7 books (two of the Maccabees Joshua bin Shira Wisdom Tobith Judith and Baruch as well as portions of Esther and Daniel) that were not accepted by the Jews.

The 7 books came to be rejected by Martin Luther in the 16th century then by most Protestants but are increasingly used by the Catholic and Orthodox Church in the name of Deuteronomy.

The New Testament
There are 27 books of the New Testament. The first four are the four Gospels that contain the life stories actions and words of Jesus.
Others are the Acts of the Apostles the Epistles of the Apostles especially the Apostle Paul and the Revelation of John.

Show More >

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) / What's New in v5.7.0

we fixed bugs and improved performance

Choose Download Locations for Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) v5.7.0



Telegram

.

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) / Tags

Share Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) At Social Media

.